Important Announcement
PubHTML5 Scheduled Server Maintenance on (GMT) Sunday, June 26th, 2:00 am - 8:00 am.
PubHTML5 site will be inoperative during the times indicated!

Home Explore ukatili

ukatili

Published by jamalyjantaly, 2018-04-19 04:03:20

Description: ukatili

Search

Read the Text Version

Haki ya Msingi ya Usawa mbele ya Sheria. TAWLA ipo kwa kukusaidia wewe kuelewa nini hasa maana ya Haki hii. Endapo una swali lolote, au unahitaji msaada, tafadhali tuandikie “TAWLA”, S.L.P. 9460, Dar es Salaam Tanzania. DESIGN NA MICHORO WALTER LEMA IMETOLEWA NA KUTAYARISHWA NA CHAMA CHA (DESIGN AND DRAWING) WANAWA KE WANASHERIA TANZANIA (TAWLA) REDISIGN HELMUT PFINDEL IMEFADHILIWA KWA PAMOJA NA ROYAL DANISH EMBASSYIMEFADHILIWA NA MEDICAL MISSION SUPPORTUNITED STATES INFORMATION SERVICES (USIS)

MAANA YAKE NINI 4. Kuvunjika kwa ndoa/uchumba. 10. Jamii iwape moyo wa kujitambua na 5. Watoto wa mitaani. kujiamini.Ni unyanyasaji na ukatili unaofanywa dhidi ya 6. Chuki kati ya familia/koo.wanawake na baadhi ya wanaume na jamii ambao 7. Maumbile ya kike kuharibiwa. 11. Wanawake wasinyanyaswehumdhalilisha mwanamke kimawazo, kisiasa, kiu- 8. Kutoaminiana kati ya wanawake na wanaume kimapenzi.chumi na kijamii na matokeo yake mwanamke 9. Wanawake kutoshiriki pamoja na wanaumekukosa uhuru, maendeleo na utu wake. 12. Sheria ziwe kali dhidi ya makosa ya katika shughuli za maendeleo. unyanyasaji wanawake na watoto.UNATENDEKA DHIDI YA NANI 10. Vifo. 11. Wanawake wakiwa ni asilimia kubwa ya 13. Wanawake na wanaume washirikianeUnatendeka dhidi ya wanawake wa rika zote. katika kutetea haki za wanawake. wananchi, maendeleo ya nchi yanarudi nyuma.KWA NINI SHERIA INASEMAJE JAMII IFANYE NINI1. Kutokana na baadhi ya mila na desturi. 1. Katiba inatamka wazi kuwa: 1. Kuwe na Sheria nzuti na kali kulinda haki za • Binadamu wote huzaliwa huru,2. Uwezo mdogo wa kiuchumi. wanawake. na wote ni sawa.3. Elimu duni. • Kila mtu anastahili heshima ya4. Kutojiamini kwa wanawake. 2. Serikali jhakikishe mikataba ya Kimataifa ya haki kutambuliwa na kuthaminiwa utu5. Mazoea. za binadamu zinapitishwa kama sheria za nchi. wake.6. Dharau za wanaume.7. Misimamo mibovu ya ndoa. 3. Wanawake wapewe nafasi ya kufanya maamuzi 2. Ni kosa la jinal kufanya shambulio la8. Heshima inayotokana na hofu. kuhusu elimu na afya zao n.k. aibu dhidi ya mwanamke.9. Wazazi kutoa upendeleo kwa watoto, 4. Wanawake wapewe nafasi ya kuelewa na 3. Ni kosa Ia jinai kumdhalilisha kijinsia, wanaume. kutawala miili yao. kumbaka kumlawiti mwanamke.10. Baadhi ya Sheria za dinj na za Serikali.11. Tabia za kinyama. 5. Wanawake wapewe haki ya usawa katika jamii, 4. Ni kosa Ia jinai kumdhalilisha, Serikali, vyombo vya Sheria na familia zao. kumtishia. kumsababishia madharaMADHARA YAKE NI YAPI ya kimwili au kumpiga mwanamke 6. Kazi zinazofanywa na wanawake zitambuliwe. nakadhalika.1. Maumivu, machungu simanzi na huzuni katika familia 7. Wanawake wapatiwe elimu sawa sawa na WANAWAKE WAFANYEJE? wanaume na hivyo kupewa nafasi sawa2. Magonjwa yasiyoweza kutibika. katika kazi. Mapambano ni makali - vitendo vya3. Ulemavu. namna hii vitolewe taarifa mara 8. Wanawake waweze kuamua matumizi ya kipato vinapotokea. chao na cha familia. 9. Wanawake wawe na haki ya kurithi na kumiliki mali.


Like this book? You can publish your book online for free in a few minutes!
Create your own flipbook