Important Announcement
PubHTML5 Scheduled Server Maintenance on (GMT) Sunday, June 26th, 2:00 am - 8:00 am.
PubHTML5 site will be inoperative during the times indicated!

Home Explore SNAZZ MAG

SNAZZ MAG

Published by lifesnazzymagazine, 2019-08-03 16:25:53

Description: life snazzy magazine

Keywords: snazzy

Search

Read the Text Version

AUGUST, 2019 Life style. Entertainment magazine demo version CON SNAZZY TEAM TEN TS CHIEF EXECUTIVE OFFICER REMIGIUS RUGEMALILA RESPICIUS PHOTOGRAPHER ELIA SAMSON SAMWELI (WEST ROCKCITY) GRAPHICS DESIGNER GODFREY GODSON (PANCHITO_FX) ARTICLES MODEL YOUR MOUTH IS THE PICTURE OF YOUR JULITHA ROBERT HEART (RIONCE BAE) THE MASAI IN TANZANIA DIGITAL YOU CAN ARCHIEVE MORE FAST DESIGN MEDIA THE COUNTRY DUNIA DIGITAL AFRICA AND THE PLATEFUL OF CULTURAL WRITERS VALUES MWENGE ART MARKET MARCO KINYAFU TOFAUTI KATI YA NDOA NA MAHUSIANO (0714129520) W W W. L I F E S N A Z Z Y. C O M ISSAC KANYANKOLE (+255753335000 +255625915000) BWANKU BWANKU (0657475347) All rights are received. may not be republished or reprint or copied without written permission. All the advents added inside it is used as the Demo advents 03 L I F E S N A Z Z Y M A G A Z I N E

RELATIONSHIP “Unatangulia Nidhamu yako pia ni sehemu muhimu katika ADD YOUR kuangaliwa kufanya mwanaume bora akupende, jua jinsi ya ADVENT HERE uanamke kumjibu mwanaume kwa heshima, nafasi ya wako kwanza mwanaume itakabaki kama ilivyo kama ilivyoku- Tshs16,500 kabla ya watangu asili (Adam na Hawa). Unapokuwa na tabia” nidhamu kisha ukajenga mahusiano bora na VAT Exclusive wanajamii wenzako huko ndipo utakapokutana Kumekuwa na changamoto kubwa sana katika na mume bora. Mume bora hutampata kanisani jamii ya kwamba kwa nini wadada wazuri wa ama msikitini tu, nenda sehemu mbalimbali tabia na maadili mema wanakaa kwa kipindi ambazo vijana wenzako wanashiriki, mfano kirefu bila kupata ndoa na wakati wale wanao sehemu salama za kupumzikia, sehemu za onekana ni wenye tabia zisizofaa wanaolewa maonyesho mbalimbali, kumbuka katika kila mwisho wa wiki. Wapo wadada wazuri kujichanganya kwako na watu ndipo watu waliojitoa maisha yao kwa uaminifu watakapokuona lakini sina maana uende kwa kumuabudu na kuishi maisha ya kumpendeza sababu ya kutafuta mume, hili nalo zingatia. Mungu lakini bado wamekaa kwa kipindi kirefu bila kupata wenza wao wa kuishi nao Usiwe mtu mwenye kupenda viwango vya juu katika maisha ya ndoa. Kwanini? sana, yani aina ya mwanaume unae tamani awe mumeo umeweka vigezo vingi sana kiasi Fikira za kujipa haki ni moja ya tatizo kubwa kwamba kila anaekuja kwako unaona hana vigezo kwa wanawake wa aina hii, wanadhani kwa vyako, sio mbaya kuwa na sifa na vigezo vya kuwa wao ni wanawake wema basi wakikaa tu mwanaume umtakae lakini visiwe vya kuzidi chini wanaume wema nao watawajia na mnohilo nalo litakugharimu. kutaka kuwawen za wao. Unapotoka na kwenda nje ndipo unapoweza kufahamu tabia Mwisho niseme nawe kuwa, muda unaozunguka za wanaume na ni vitu gani wanavipenda na kwa waganga ama kwenye makanisa ila kutaka wanavihitaji kutoka kwa wanawake. kuombewa, acha kuupoteza embu tumia muda huo kujiboresha katika elimu yako, maisha yako. Mume sio tuzo ya ubikira, yani kwakuwa Mwili wako na mengineyo, mchawi wa maisha umejitunza na kuwa mwaminifu kwa kipindi yako ni wewe mwenyewe. chote cha usichana wako basi ukadhani mume atakuja kama zawadi, lakini tambua bado REJEA KITABU: WHY GOOD GIRLS REMAIN SINGLE. wahitaji kutafuta ili ujue unahitaji kuwa na Bad girls are getting married every sifa gani ili uwe na sifa za kuwa mke bora. Saturday, By Nelson Asuen Kama vile uonavyo mvua inavyonyeshea walio wema na walio waovu bila kubagua, vivyo hivyo nawe wahitajika kuzifahamu kanuni za mahusiano ukiwa ni mwema ama una sifa mbaya. Madhara utakayopata kwa kutokujua kwako kanuni za mahusiano hakutafunikwa na tabia yako kwamba ziliku- wa njema ama ni mbaya. Lakini kukosa kujiboresha mwenyewe nalo hili ni tatizo jingine, fahamu neno hili kuwa hakuna mwanaume anaetaka mwanamke mzigo ndani ya nyumba yake. Tatizo la wanawake wengi wenye tabia nzuri wameis- hia hapo kwenye tabia tu lakini wameacha kujiboresha katika maeneo mengine, mfano kuwa bora katika elimu zao, kuitunza miili yao na mengineyo. Tabia sio kila kitu ijapo ina nafasi kubwa katika sifa za kuwa mke bora, lakini pia muonekano wako wa nje una nafasi kubwa sana ya kumvuta mwanaume bora aje kwako. Amini ama usiamini ila ukweli ni kwamba kava la kitabu linao mchango mkubwa sana katika kuwavuta watu waje kusoma vile vilivyomo ndani yake.

Vijana wengi wamejikuta wakiwa kwenye TOFAUTI KATI YA mahusiano ambayo sio sahihi kabisa kwao MAHUSIANO na kuambulia kuumizwa na wengine wa- NA NDOA mediriki kujiua kwa sababu ya kukuru- puka kwa kufuata tamaa za mwili kuliko “Utofauti mkubwa wa kuangalia kanuni za kiroho zitakazowa- mahusiano na ndoa ni ongoza kupata watu sahihi kwenye mai- kutoingiliana kimwi- sha yao. Fahamu,ili ndoa yako iwe imara li wakati wa mahusia- na iweze kudumu lazima ivuke hatua no maana kipindi mki- mbili za awali ambazo zitakufanya umjue wa kwenye mahusiano mwenzako madhaifu yake na kuweza ku- mnakuwa amjawa mwili kabiliana nayo kabla hujafanya maamuzi mmoja hivyo ni vema ya kukubali kumuoa au kuolewa naye. zaidi kuepukana na ilo Vijana wengi wanajikuta wanakosea jambo na hii ni mojawapo sana kwa kukimbilia tamaa za mwili pia ya sababu ya mahu- kuliko kuangalia nini alichokibeba an- siano kuvunjika kabla ya ayetaka kuanzisha naye safari ya ndoa. Kijana hakikisha huivuki hatua ya urafiki ili ndoa” ndoa yako ije kuwa bora zaidi , katika urafi- ki utatafuta kumfahamu tabia zake kabla hujasema huyu anakufaa kuwa mchumba usikimbilie uchumba kabla hujamjua tabia zake na mwenendo wake utaacha wengi sana ukiwa unakimbilia uchumba. SABABU ZA MAHUSIANO KUVUNJIKA KABLA YA NDOA Baadhi ya tafiti zilizofanywa kwenye jamii na maeneo tofauti zinaonyesha sa- babu zilizo katika makundi mawili zin- azoweza kusababisha mahusiano mengi kuvunjika. Kundi la kwanza ni sababu ya kutodumu zaidi kwenye mahusiano ili kufahamiana zaidi tabia za mwen- za wako kabla ya kuanza kuishi pamoja. Sababu hii inaweza kupelekea moja kwa moja mahusiano kuvunjika kabla ya ndoa. Sababu ya kundi la pili ni yale matatizo ya kila siku ambayo kati ya mmoja wenu kwenye mahusiano anayaonesha pasipo kujali upande wa pili,mara nyingi matati- zo haya husababishwa na mmoja kutom- sikiliza mwenzake hivyo sababu hii inawe- za kupelekea kuvunjika kwa mahusiano.





“YOUR MOUTH IS A PICTURE OF YOUR HEART” Kuongea ni tabia ya kawaida kutafakari maneno yetu mahusiano makubwa na ya kila mwanadamu aliye tuyaongeayo kabla ya kuyat- watu na maneno yanao pia na uwezo wa kunena. Wa- amka, si lazima kuyasema uwezo wa kuharibu mahu- nadamu sisi huwa tunaon- yale yote tuyajouayo, wakati siano uliyojenga na mtu ama gea maneno mengi lakini mwingine ni vyema kuyajua watu kwa kipindi kirefu na wakati mwingine tunaacha yote tunayo yasema kuliko yakatengeneza maumivu ya kukaa na kutafakari kabla ya kuyasema yote tunayoyajua. kudumu ya kudumu. kunena kuwa maneno hayo tuyaongeayo je yanaleta “Mtu mmoja alikuwa Maneno yanafumbua tabia ama kutujengea twasira gani zetu, maneno yana uwezo wa kwa watu na jamii tunayoi- akivuta sigara na baada ya kufichua hata mambo yetu shi nayo?. Mtu anapoongea kumaliza akatupa kipisi ya kale ambayo yalikuwa ni rahisi sana kupata picha kilichobakia lakini huku yamefichika, maneno yanav- halisi ya akili yake jinsi akisahau kukizima, moto unja ndoto za watu, maneno ilivyo kama ni maneno ya huo mdogo ulianza ku- yanapoteza uaminifu wako hekima asemayo ndivyo na shika majani na baadaye kwa watu, maneno yanaweza kiwango cha hekima kilivyo kuteketeza msitu. Njiti kujenga tumaini kubwa kwa hivyo ndani yake na ikiwa ni moja ya kiberiti inao mtu, maneno yanao uwezo maneno ya upumbavu basi wa kumtengenezea mtu ndivyo picha halisi ya up- uwezo wa kuteketeza msi- shauku. Tafakari maneno umbavu wake ulivyo akilini yako je yanajenga unapoy- mwake. ”tu mkubwa. atoa ama yanabomoa. Ipo sababu tunayo masikio maw- Maneno yako ndiyo uhalisia Ndivyo na maneno yetu ili lakini mdomo mmoja, ni wako ulivyo, kwa sababu wanadamu heri kusikiliza zaidi kuliko maneno ndiyo yanayoonye- jinsi yalivyo, si rahisi kuo- kusema. sha ule utu wako wa ndani na madhara ya neno dogo ulivyo, na utu wa ndani ulilomtamkia mtu kwamba ndiyo mtu halisi kwa sababu limeacha majeraha makub- mtu si mwili pekee bali ni wa kiasi gani katika moyo ile nafsi iliyo ndani. Upo wake. Maneno yana nafasi umuhimu mkubwa wa ya kutengeneza

“WAMASAI NA TANZANIA” Mnamo Karne ya 15 baadhi ya Wamasai walianza kuwasili kutoka kaskazini mwa Kenya na kuja Tanzania hadi mwisho mwa karne ya 18 - 19. Wamasai walie- nea Tanzania mnamo karne ya 19, walie- nea maeneo ya Bonde la Ufa na pande za kutoka Mlima Marsabithuko Kaskazini hadi Dodoma. Wamasai na Makabila mengine waliyohama nayo kutoka Kenya walivamia mifugo mashariki ya Pwani na Tanga. Kimsingi kuna sekta kumi na mbili za kabi- la la Wamasai,kila sekta ikiwa na desturi yake, muonekano, uongozi na lugha to- fauti. Sekta hizi zinajulikana kama Kee- konyokie, Daha Besdi, Purko, Wuasinkishu, Siria, Laitayiok, Loitai, Kisonko, Matapato, Dalalekutuk, Loodokolani na Kaputiei. Wamasai humwabudu Mungu wao wana- omwita EnkaAi au Engai. Engai ni Mungu mmoja mwenye asili mbili, Engai Narok (Mungu Mweusi) ana huruma, na Engai Nanyokie (Mungu Mwekundu) ana ghad- habu. Binadamu mkuu katika mfumo wa dini ya Wamasai ni Laibon ambaye anaweza kushiriki katika,Uponyaji wa kidini,Kuzu- ngumza na Mungu pamoja na Unabii. Ku- hakikisha mafanikio katika vita au mvua ya kutosha. Nguvu zozote alizokuwa nazo laibon zilikuwa zimetokana na utu na nafsi yake, bali si cheo chake.

Jamii ya Wamasai inaamini sana mfumo dume,katika desturi yao ni wanaume tu wanaomua mambo mbalimbali yanayotokea kwenye jamii zao. Hususani kama migogoro, Sheria za Wamasai ni pamoja na malipo ya ng’ombe. Kuna mbinu mbili za kutatua migogoro ambazo ni ‘Amitu’ in- amaanisha ‘Kufanya amani’ na ‘Arop’ hii inahusisha kuomba ‘Msamaha wa dhati’. Wamasai uamini sana ng’ombe na ndo chakula chao, kipimo cha mali ya mtu ni idadi ya mifugo na watoto alionao, kuwa na ng’ombe kuanzia hamsini 50 na kuendelea katika jamii ya Wamasai unaheshi- mika zaidi. Kumbuka anaheshimika zaidi yule ambaye anavitu vyote viwili ng’ombe wengi pamoja na watoto wengi ukiwa upande mmoja huna wengi zaidi una- onekana kama masikini.

Wamasai ni watu wanaohamahama Kitendo hiki kinapofanyika lazima kutoka sehemu moja na kwenda kijana avumilie maumivu pasipo sehemu nyingine hivyo makazi yao kupiga kelele, hali hii huchukua uwa si bora kwa maisha ya kudumu takribani miezi mitatu hadi minne katika sehemu hiyo wanapofika. kupona tatizo hili na pia ujifunga Mara nyingi ujenga nyumba zenye nguo nyeusi kwa kipindi cha miezi umbo la mviringo au nyota, nyum- minne hadi minane. ba hizi ujengwa na wanawake kwa Wavulana wote waliofanyiwa to- kutumia mbao,matawi madogo hara baada ya kupona wanajukumu yaliyochanganywa na matope,vi- la usalama katika jamii na hutumia jiti,majani,kinyesi cha ng’ombe,mko- muda wao mwingi kuzunguka hapa jo wa binadamu na majivu nyumba na pale ili kulinda usalama katika hii inavyojengwa upelekea paa jamii yao. kutovujisha maji kipindi cha mvua. Kwa kawaida nyumba hizo huitwa Wasichana pia hutahiriwa,wanapo- Inkajijik. balehe na hupewa maelekezo na ushauri zinazohusiana na majukumu Sehemu Wamasai wanapokuwa yao mapya, baada ya kukeketwa wamefikia na kujenga nyumba wanakuwa tayari kwa kuolewa. zao wanaume nao, Uzungushia ua Tendo hili la tohara husababisha katika sehemu hiyo ua hilo uwa na kovu nene ngozi ambalo linafanya miibamiiba ya acacia. Wanyama wapate ugumu kwenda haja ndogo. wote kama ng’ombe,mbuzi na kon- doo uwa katikati ya ua hilo. Ifahamike kwamba kijana wa kima- Hii ni mbinu mojawapo ya kulin- masai kuja kuheshimika kwenye da mifugo yao Dhidi ya wanyama jamii yake au kuwa shujaa lazima pori kama vile simba, chui n.k, kwa awe ameua simba kwa mikono yake kawaida ua hilo huitwa Enkang. yeye mwenyewe. Zoezi hili la kufa- nya tukio ilo liliweza kutokomezwa Baada ya miaka kumi na tano 15,Ki- baada ya serikali kuingilia kati juu zazi kipya cha Morans(Wapiganaji) ya kuuliwa kwa wanyama pori kwa utahiriwa. Hii inajumuisha wavulana ajili ya hifadhi wanyama wa porini. wenye umri kuanzia miaka 12 hadi 25 ambao wamebalehe. Moja ya “Kwa tamaduni Wamasai sherehe ya kupita ujana hadi upiga- naji ni sherehe ya tohara, Tohara baada ya kufariki,maiti in- ufanywa pasipo kuweka dawa ya aachwa nje hadi iliwe na kugandisha misuli,tendo ili la tohara tumbusi au Fisi. Maiti isipo- hufanywa na wazee, ambao hu- liwa na Tumbusi au Fisi tumia kisu chenye makali na kigozi huonekana kuwa ni kitu cha ng’ombe ili kufunika jeraha. kibaya na inapelekea jamii Neno la kimasai kwa tohara huitwa ya mfu huyo kulaumiwa juu ‘Emorata’. ”ya tukio hilo.

Dar es Salaam, a major city and commercial port on Tanzania’s Indian Ocean coast, grew from a fishing village. The open-air Village Museum has re-created the traditional homes of local and other Tanzanian tribes and hosts tribal danc- ing. It’s part of the National Museum, which offers Tanzanian history exhibits, including the fossils of human ancestors found by anthropologist Louis Leakey.

KARIAKOO MARKET Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405. The name derives from a corruption of the British “Carrier Corps”, that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks

Dodoma (Capital city of Tanzania) Officially Dodoma City is the capital national of Tanzania, and the capital of Dodoma Region, with a population of 410,956. In Dodoma u will find University of Dodoma (UDOM), Parliament of Republic of Tanzania, and other Government offices

NHC IN DODOMA an exclusive interview in Dar es Salaam. The National Housing Corporation (NHC) has NHC also runs Medeli Housing Projects where declared full residential, commercial and of- 90 residentials are already occupied by pub- fice services in the newly declared Dodoma lic servants who keep on relocating to the City, as results of its prior-investment in the new city. area. The Corporation’s acting Director General, Mr. “Additionally, we are on final talks with the Felix Maagi, confirmed availability of about Tanzania Prisons in Dodoma for a joint hous- 225-hectare land. ing project in Msalato area where over 1,000 hectares of land are set aside. It is on the Already 151 homes are in use through the agreement that the Prisons Department will Corporation’s Iyunba Housing Project. Anoth- offer the land while Corporation will offer er 150 houses are under construction and will skills,” he said, adding that: be ready for use next October, he said during







Perfect Beauty The Pose Complements The Befitting Dress



Rionce Bae Browing the sex siren

AFRICA AND THE PLENTIFUL OF CULTURAL VALUES There is no life without Culture and culture itself is annual yam festival, the what make human being sustain and conduct life annual dance and acrobat- throught the days. Culture is all about what done ic displays of guilds and always by human beings from daily routine. Culture age groups or his relations involves what we wear, how we eat, how we greet in the activities. This make and handles elders, how we communicate, live and child caught his or her so- organize our days. In short culture is life. Culture is cial culture without neces- totality of the pattern of behaviour of a particular sary taught them. The child group of people. It includes everything that makes in a traditional society them distinct from any other group of people for cannot escape his cultural instance, their greeting habits, dressing, social norms and physical environments. and taboos, food, songs and dance patterns, rites of passages from birth, through marriage to death, This shows that every human social traditional occupations, religious as well as philo- being who grows up in a sophical beliefs. particular society is likely to become infused with Culture is passed on from generation to generation. the culture of that so- The acquisition of culture is a result of the sociali- ciety, whether know- sation process done from the social institutions like ingly or unknowingly School, church, mosque, hospitals, universities, in during the process of the markets within social background and pattern- interaction. ing and this institutions is explaining how culture is passed on as a generational heritage. For example the Language, customs, traditions, food, music arts child just grows into and within the cultural heritage and architecture, religion and clothes are all part of his people. He imbibes it. Culture, in traditional and parcel of culture. World instead of being in society, is not taught; it is caught. The child observes, the age of highly development in science and tech- imbibes and mimics the action of his elders and nology which change daily world from their local siblings. He watches the naming ceremonies, reli- set up of the past to highly developed and plent of gious services, marriage rituals, funeral obsequies. easening communication and states of life but Africa He witnesses the coronation of a king or chief, the still rigid and closed to the cultural values.

African as one among of the world’s continent is highly dominat- ed by the cultures done every where in this continent. African is blessed in culture. Look on the languages. African is only conti- nent with huge and a lot of traditional and vernacular language than any other area in this world. Every community in Africa apart from Western languages such as English, French and Span- ish language but Africa has its own traditional languages spoken differently in every society. African said to have more than 2000+ traditional languages. This is what we call culture richness. Clothes; no any area in this world can compete with Africa in cultural richness in clothes and matters of wearing. Still African have their own way of clothes used way back from the 5th century. African uses paints of clothes, leaves and sort of crafts wearing. This all identifies African as giant and leading in Culture. Look on the Masai Clothes which is highly interesting culture in sub Saharan countries up to day instead of world being dominated by the western way of life and wear- ings. There is no life without Culture and cul- ture itself is what make human being sustain and conduct life throught the days. Culture is all about what done always by human beings from daily routine. Culture involves what we wear, how we eat, how we greet and handles elders, how we communicate, live and organize our days. In short cul- ture is life. Culture is totality of the pattern of behaviour of a particular group of people. It includes everything that makes them distinct from any other group of people for instance, their greeting habits, dressing, social norms and taboos, food, songs and dance patterns, rites of passages from birth, through marriage to death, traditional occupations, religious as well as philosophical beliefs.









Unaweza Kufanikiwa Zaidi..! Safari ya ushindi si safari nyepesi, in- huku tayari akiwa anafahamu kuwa bila sisi wenyewe kutambua. ahitaji kujitoa na kujidhatiti kwa kila sigara na pombe ni hatari kwa afya namna ili uweze kufika unapotama- ya binadamu, basi hivi ndivyo tu- Kufanikiwa ni kufanya kwa ufanisi ni ufikie. Washindi huwa na tabia ya fanyavyo katika maisha yetu, yapo na kujijengea nidhamu katika mambo kuzipangia akili zao kutenda mambo mambo mengi mazuri na mema men- madogomadogo. Uharibifu wa mai- yaliyo sahihi siku zote za maisha yao. gi sana tunayoyafahamu ila kufanya sha yetu hutokea katika mambo ma- Tatizo lipo hapa; si kwamba watu uamuzi wa chukua hatua ndio kwetu dogo madogo tunayo yafanya pasina hawafahamu jambo jema ni lipi na imekuwa ni tatizo. wenyewe kutambua kuwa tunahari- jambo baya ni lipi ndio maana ha- bu maisha yetu. Chukulia mfano huu wawi washindi katika maisha yao ila Tunafanya makosa mengi katika kwanini mbu ni hatari kwa binadamu tatizo ni kwamba kuyachukua yale maisha yetu na ndiyo hayo yanayo kuliko tembo? Kwanini njiti moja tu mambo mazuri unayoyafahamu ki- turudisha nyuma bila ya sisi wenyewe ya kiberiti inaweza kuteketeza msitu? sha ukayafanyia utekelezaji hilo ndilo kufahamu, tunayapa thamani kub- Hili ni wazi kwamba mambo mado- limekuwa tatizo kuu la watu kushind- wa mambo yasiyo na maana wala go madogo ndiyo tunayokutana nayo wa kufanikiwa. msaada wowote katika maisha yetu, kila siku katika maisha yetu, kwa- tunashindwa kuwaamini watu wengi hiyo nidhamu yetu katika mambo Chukua mfano wa tatibu avutae siga- kwenye mambo ambayo sisi tumesh- hayo ndiyo inayoweza kutufanya tu- ra ama kunywa pombe na huku tayari indwa kufanya basi tunadhani na kila fanikiwe ama tuharibu maisha yetu. akiwa anafahamu kuwa sigara na mtu hawezi pia kuyafanya, tunapoteza Kama wataka kufika mbali amua sasa pombe ni hatari kwa afya ya binada- muda mwingi kuyabadili mambo am- kuanza, jipe changamoto ya maswali mu, basi hivi ndivyo tufanyavyo bayo kwa asili yake hayawezi kubadi- katika akili yako kuwa kama sio leo katika maisha yetu, yapo mambo lika, hatuwezi jenga nafsi zetu kuwa naanza kumbe nitaanza lini? Kama si mengi mazuri na mema mengi sana bora kwa kuwapuuza ama kuwad- mimi ninaetakiwa kufanya kumbe af- tunayoyafahamu ila kufanya uamuzi harau watu wengine, haya ni baadhi tu anye nani? Kama hapa si mahala sahi- wa chukua hatua ndio kwetu imeku- ya matatizo ila yapo matatizo mengi hi pakufanya, kumbe wapi ni mahala wa ni tatizo. Chukua mfano wa tatibu ambayo yanaweza kutufanya sisi tu- sahihi?. Ubora wa maisha upo kati- avutae sigara ama kunywa pombe na kawa tunajifungia njia zetu za ushindi ka kuipa nidhamu siku moja na siku yenyewe ndio leo. “Achievement lies in practicing excellence in small details” Rejea kitabu: You can achieve more by Shiv Khera.



Are you Ready to win GET YOUR MEMBERSHIP CARDS TODAY & GET READY TO WIN

12Ca5shMGiIveLLAIwOayN


Like this book? You can publish your book online for free in a few minutes!
Create your own flipbook